17 | Tafsir Surah Yaasin

1. Maelezo ya ufupi aya 22-24 ya Sura Yasin.
2. Dalili zipi walizotoa wapinzani kupinga Mitume wa Allah?
3. Sampuli za watu wanaomuabudu Allah ni ngapi?
4. Maana na Fasili ya neno fatarani ni ipi?
5. Sababu zilizothibitisha Allah ndio anaestahiki kuabudiwa ni zipi?
6. Kazi za Mitume kwa umma ni zipi?
7. Nini hasa kilichowafanya watu kuabudu kisichokua Allah? (shirki)
8. Maswali na majibu – Je shafaa ni ibada au si ibada?