15 | Tafsir Surah Yaasin

1. Vitu viwili vipi tusivisahau katika kusoma kisa hiki?
2. Mitume walijibu nini baada ya kupingwa na wapinzani wao kwa mujibu wa Sura Yasin?
3. Ni zipi tofauti kati ya Mitume na waja wa kawaida?
4. Njia zipi walizitumia wapinzani kuwapinga Mitume baada ya kudhihirisha Utume wao?
5. Majibu ya Mitume baada ya vitisho vya wapinzani wao.
6. Ni mafunzo gani tunayapata kutokana na majibu ya Mitume kwa wapinzani wao?