14 | Tafsir Surah Yaasin

1. Ni nani hawa Mitume aliyowapeleka Allah katika mji wa Antakiyyah?
2. Sababu zipi zilitolewa kwa Mitume waliopelekwa Antakiyyah ni Mitume ya Allah?
3. Sababu zipi zilitolewa kuwa hawa waliopelekwa mji wa Antwakia ni wanafunzi wa Nabii Issa?
4. Aya ya 14 ikieleza kisa “asshaabu quaruya” kwa tafsiri.
5. Yapi yalikua malengo ya kuletwa kisa hiki kwa Mtume Muhammad?
6. Dalili na tija za waliompinga Mtume kwa maelezo aya ya 14 ya Sura Yasin.
7. Tafsiri ya sifa ya rahmaan ya Allah.
8. Muhtasari mfupi wa aya ya 14.