1. Maelezo ya aya ya 11 kwa ufanisi.
2. Zipi ni tiba za mambo yaharibia vyombo vya maarifa?
3. Nini maana ya wakhashia rahmaan min ghaib?
4. Tofauti ya starehe za peponi na ulimwenguni.
5. Sifa za waja ambao watamkubali Mtume ni zipi?
6. Sharti za maarifa/imani ni zipi?