02 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko Tunatakiwa kuwa na fikra za aina gani katika akili zetu Kuzihesabu neema za Mwenyezi Mungu (s.w.t.) sio ibada tu bali ni yale maendeleo yaliyotuzunguka. Akili ya Mwanadam huenda vile ilivyozoweshwa Dini ya kiislamu haina vita na akili