Umma huongoka kwa mambo matatu; Kiongozi, Kitabu na mafundisho kimatendo
Mwanadam hapelekewi maendeleo
Kila Mwanadam ana msukumo wa maendeleo katika nafsi yake
Mtume (s.a.w.w.) ameleta mabadiliko matatu; mabadiliko katika ufahamu, mabadiliko katika hisia na mabadiliko katika sifa