01 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko Mwanadam ni kiumbe dhaifu mbele ya viumbe vyengine Lakini Mwanadam ametukuka kwa sababu ya akili Na akili inafanya kazi mpaka Mwanadam afikiri Uwezo wa wa akili ya Mwanadam