01 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko
Mwanadam ni kiumbe dhaifu mbele ya viumbe vyengine Lakini Mwanadam ametukuka kwa sababu ya akili Na akili inafanya kazi mpaka Mwanadam afikiri Uwezo wa wa akili ya Mwanadam
02 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko
Tunatakiwa kuwa na fikra za aina gani katika akili zetu Kuzihesabu neema za Mwenyezi Mungu (s.w.t.) sio ibada tu bali ni yale maendeleo yaliyotuzunguka. Akili ya Mwanadam huenda vile ilivyozoweshwa Dini ya kiislamu haina vita na akili
03 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko
Nini maana ya kila ardhi Karbala na kila siku ni ashura Karbala ina sura mbili Nini maana ya ujahiliyah Ujahili wa zama zetu Uongozi na ahadi ya Mwenyezi Mungu (s.w.t.) Matatizo yote ya watu ni vitu viwili
04 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko
Umma huongoka kwa mambo matatu; Kiongozi, Kitabu na mafundisho kimatendo Mwanadam hapelekewi maendeleo Kila Mwanadam ana msukumo wa maendeleo katika nafsi yake Mtume (s.a.w.w.) ameleta mabadiliko matatu; mabadiliko katika ufahamu, mabadiliko katika hisia na mabadiliko katika sifa
05 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko
Hisia ya kuwajibika Mambo yanayompelekea Mwanadam katika taqwah Umri sio kipimo katika kupima ubora wa mtu Sehemu 1 Sehemu 2
06 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko
Umma uliotengenezwa kwa kipindi cha miaka 23 Ni lazima Uongozi wa wanadamu uwe na nguvu za mbinguni Kilichowaangusha waislamu Hakuna hata Imamu mmoja katika maimamu wanne aliyejitangaza kwa Madhehebu Dini na siasa Sehemu 1 Sehemu 2
07 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko
Mbinu zilizotumika kwa waislamu kutenganishwa na fikra za mbinguni Fikra potovu zilizoletwa katika akili za watu Fikra za majaaliwa Sehemu 1 Sehemu 2
08 | Sababu za kuwapo nyuma waislamu na sababu za muamko
MASWALI NA MAJIBU Uislamu utaweza muongozo upi Ni tofauti ya Kiongozi na Utawala Kama Imam Ali (a.s.) alistahiki ukhalifa mbona hakudai Ni kweli Imam Husayn (a.s.) alikwenda Karbala kulipiza kisasi cha Muslim bin Aqeel Ni kweli ghadeer hakuna maji Kutuma message za dini katika simu kwa faa Kufunga siku ya ashura inafaa Tufanyeje kurejesha Uislamu...