➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Utekelezaji wa kiongozi katika sheria hii katika matendo yake…
• Jinsi Mtukufu Mtume (s.a.w.w) alivyotekeleza sheria kwa vipindi na hatua kwa hatua…
• Subira, uvumilivu na kuona mbali…
• Mfano wa Sulh Hudaibiyyah…
• Kipindi cha vita vya Jihad…
• Uhusiano wa vipindi hivi na Karbala…
• Msisitizo wa kuwasoma Maimamu wote ili kuelewa vizuri utekelezaji wa Sheria hii hatua kwa hatua…
• Vipindi vya mwisho – mwanzo wa elimu ya fiqh, siasa, utengenezaji wa jamii na uongozi