➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Kujipenyeza kwa Banu Umayya katika mwili wa Uislamu
• Yaliyojiri Karbala…
• Je, Imamu Husein (as) alikufa Karbala?…
• Wanavyosema baadhi ya watu kuhusu kushinda au kushindwa kwa Imamu Husein (as) …
• Tofauti ya Mashia wa kweli na wapenzi wa Maimu (as)…
• Ushindi ni kufikiwa kwa malego – Husein (as) alifikia malengo yake…