➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Je, mapambano ya Karbala yaliisha?…
• Maimamu (as) siku zote ni wamoja…
• Mapenzi kwa Fatma na Ali (as) ni mapenzi kwa Mtukufu Mtume (saww)
• Hadith; ‘Haki iko na Ali na Ali yuko pampja na Haki’…
• Kulipa uhai jambo hili la dini na kupata uhai kwalo….
• Wanavyoipotosha itikadi ya Kadhaa na Kadar…
• Kubadilika kutokana na zama…