➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Mapambano ya Karbala yanaendelea…
- • Tumepata somo gani baada ya Ashura?…
- • Imamu Ali (as) ajibu swali, ni kwanini hakuitetea haki yake…
- • Vipi viongozi wanatakiwa kuwa na vipi wenye kuongozwa wanatakiwa kuwa…
- • Baada ya kuwa Imamu Husein ni Shahid, halikadhalika sasa ni kiigizo chetu…
- • Jinsi Imamu Husein alivyoisimamia haki, iwe ni somo kwetu tuendelee kutenda na kusimamia haki…