➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Sifa mbili zinazomtofautisha Mtume (s.a.w.w) na Mitume wengine
• Misingi mikubwa miwili…
• Uongozi baada ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w)…
• Je, muda alioishi Mtukufu Mtume (s.a.w.w) ulitosha kuwaandaa na kuwalea masahaba zake?…