➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Somo kutoka Karbala…
- • Ilikuaje ummah wa Mtukufu Mtume (saww) wakamuua mjukuu wake…
- • Maelezo mafupi kuhusu Hashim na Umaya na chuki za kikabila…
- • Jinsi Chuki hizi zinavyohusiana na Karbala…
- • Kuachwa kwa Imamu Ali (as) ndio chimbuko la Karbala
- • Kiburi cha Banu Umayyah – Mu’awiyya aunda mkakati – Yazid autekeleza…
- • Mayazid wa sasa na ulipuaji wao wa mabomu…