01 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ THAURA (MAPINDUZI) YA IMAMU HUSEIN (AS) DHIDI YA BID’A: • UTANGULIZI: Baadhi ya mapinduzi ya Imamu Husein (as):… • Sifa kubwa ya Imamu Husein (as) ni Shahid… • Tafsir ya ar-Rahman ar-Rahiim • Thaura (Mapinduzi) katika Uislamu – maana yake… • Maelezo zaidi kuhusu Bid’a utayapata katika sehemu zinazofuata.
02 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Sifa mbili zinazomtofautisha Mtume (s.a.w.w) na Mitume wengine • Misingi mikubwa miwili… • Uongozi baada ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w)… • Je, muda alioishi Mtukufu Mtume (s.a.w.w) ulitosha kuwaandaa na kuwalea masahaba zake?...
03 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Utekelezaji wa kiongozi katika sheria hii katika matendo yake… • Jinsi Mtukufu Mtume (s.a.w.w) alivyotekeleza sheria kwa vipindi na hatua kwa hatua… • Subira, uvumilivu na kuona mbali… • Mfano wa Sulh Hudaibiyyah… • Kipindi cha vita vya Jihad… • Uhusiano wa vipindi hivi na Karbala… • Msisitizo...
04 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Somo kutoka Karbala… • Ilikuaje ummah wa Mtukufu Mtume (saww) wakamuua mjukuu wake… • Maelezo mafupi kuhusu Hashim na Umaya na chuki za kikabila… • Jinsi Chuki hizi zinavyohusiana na Karbala… • Kuachwa kwa Imamu Ali (as) ndio chimbuko la Karbala • Kiburi cha Banu Umayyah – Mu’awiyya...
05 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Kujipenyeza kwa Banu Umayya katika mwili wa Uislamu • Yaliyojiri Karbala… • Je, Imamu Husein (as) alikufa Karbala?... • Wanavyosema baadhi ya watu kuhusu kushinda au kushindwa kwa Imamu Husein (as) … • Tofauti ya Mashia wa kweli na wapenzi wa Maimu (as)… • Ushindi ni kufikiwa kwa
06 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Je, mapambano ya Karbala yaliisha?... • Maimamu (as) siku zote ni wamoja… • Mapenzi kwa Fatma na Ali (as) ni mapenzi kwa Mtukufu Mtume (saww) • Hadith; ‘Haki iko na Ali na Ali yuko pampja na Haki’… • Kulipa uhai jambo hili la dini na kupata uhai kwalo…. ...
07 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Mapambano ya Karbala yanaendelea… • Tumepata somo gani baada ya Ashura?... • Imamu Ali (as) ajibu swali, ni kwanini hakuitetea haki yake… • Vipi viongozi wanatakiwa kuwa na vipi wenye kuongozwa wanatakiwa kuwa… • Baada ya kuwa Imamu Husein ni Shahid, halikadhalika sasa ni kiigizo chetu… • Jinsi...