05 | Tafsir Surah Fatiha

1. Tafsir ya RABBIL AALAMIN
2. Nini kinamfanya bin’adam kumshirikisha Allah SWT?
3. Mambo ambayo hayafai kumhusisha Allah SWT
4. Washirikina wafanya mambo ya kheri yawe na mungu wake na ya shari pia yawe na mungu wake
5. Ni nini kilikuwa cha kwanza kuumbwa na Allah SWT ?
6. Namna ya kumjua Allah SWT
7. Kwa nini Ar-Rahmaani Rrahiym imerudiwa tena katika aya ya tatu (3)?