04 | Tafsir Surah Fatiha

1.Sifa ya Rahman katika Bismillahi
2. Nini chanzo cha Qur’an
3. Rahma za Allah SWT husaidia wapi
4. Somo la Uislamu wote katika neno moja la Rahman
5. Kwanini neno Rahim lije baada ya Rahman?
6. Nini la kufanya kabla ya kuomba dua yoyote kwa Allah SWT ?
7. Tafsiri na matumizi ya Alhamdulillah
8. Sifa 4 baada ya Alhaamdulillah.