1. Dalili za wale waliothibitisha kua bismillah ni aya katika sura za qur’an
2. Sera za waislam katika kusoma Bismillah ispokua katika suratil Baraat.
3. Misahafu ya maswahaba kabla na baada ya Sayidna Uthman
4. Kauli ya Allamah Fakhruddin Raazi kuthibitisha kua kama Qur’an itakosa Bismillah, haitakua salama hivyo Bismillah ni aya.
5. Tafsiri ya Bismillah
6. Tafsiri ya neno Allah, Rahman, Rahim