01 | Tafsir Surah Fatiha
UTANGULIZI Majina mengine ya Sura hii Madhumuni ya majina haya Aya zake ni saba na si sita au nane Sura hii ni dawa( shifaa) Imeteremkia wapi? Fadhila, mafunzo na sifa za sura
02 | Tafsir Surah Fatiha
1. Falsafah ya kumlani Shaytan (Audhubillah minashaytwan rajiim) 2. Faida ya kumlani shaytan kabla ya kuanza kazi yoyote 3. Falsafa ya Bismillahi Rrahmaani Rraheem 4. Faida ya kuanza kazi yoyote na Bismillahi Rrahmani Rrahiym 5. Mas’ala muhimu ya Bismillahi Rrahmani Rrahim. 6. Kauli za Bismillah- tofauti baina ya madhehebu ya Shia na Sunni 7. Dalili...
03 | Tafsir Surah Fatiha
1. Dalili za wale waliothibitisha kua bismillah ni aya katika sura za qur'an 2. Sera za waislam katika kusoma Bismillah ispokua katika suratil Baraat. 3. Misahafu ya maswahaba kabla na baada ya Sayidna Uthman 4. Kauli ya Allamah Fakhruddin Raazi kuthibitisha kua kama Qur'an itakosa Bismillah, haitakua salama hivyo Bismillah ni aya. 5. Tafsiri ya...
04 | Tafsir Surah Fatiha
1.Sifa ya Rahman katika Bismillahi 2. Nini chanzo cha Qur’an 3. Rahma za Allah SWT husaidia wapi 4. Somo la Uislamu wote katika neno moja la Rahman 5. Kwanini neno Rahim lije baada ya Rahman? 6. Nini la kufanya kabla ya kuomba dua yoyote kwa Allah SWT ? 7. Tafsiri na matumizi ya Alhamdulillah 8.
05 | Tafsir Surah Fatiha
1. Tafsir ya RABBIL AALAMIN 2. Nini kinamfanya bin'adam kumshirikisha Allah SWT? 3. Mambo ambayo hayafai kumhusisha Allah SWT 4. Washirikina wafanya mambo ya kheri yawe na mungu wake na ya shari pia yawe na mungu wake 5. Ni nini kilikuwa cha kwanza kuumbwa na Allah SWT ? 6. Namna ya kumjua Allah SWT 7....
07 | Tafsir Surah Fatiha
1. Kikamilisho cha Tawheed 2. Maana ya neno “ IBAADA” 3. Kwanini malaika kumsujudia Adam haikuwa shirk?
08 | Tafsir Surah Fatiha
1. Tafsiri ya “Waiyaka Nastain” 2. Uislamu wafundisha uislamu wako ufungamanishe na uislam wa wenzio ili tuwe kitu kimoja. 3. Kwanini itumike dhamira ya “Iyaka Naabud Waiyaka Nastaiin” kuleta taqwaa? 4. Sifa za watu wenye taqwa 5. Ayah ii inamaanisha nini, haimanishi nini
09 | Tafsir Surah Fatiha
1. Tafsiri ya Ihdina siraatal mustakiim - 2. Kwanini waomba hidaya? 3. Ni ipi hiyo siraat mustakiim? na vipi utaijua? je ni moja au nyingi?
10 | Tafsir Surah Fatiha
1. Vipi utaijua “ SIRATUL MUSTAQIYM”? 2. Sifa za kusaidia kutafuta “ SIRAATUL MUSTAQIYM” 3. Njia tatu zilizobainishwa 4. Makundi manne (4) ya watu walio juu ya “ SIRAATUL MUSTAQIYM” 5. Mas’ala ya Ameen 6. Tija ya Surat Al Fatihah 7 . Mitihani wapatao watu walio katika njia iliyonyooka 8. Maswali na majibu kuhusu mafunzo