MASJID SHADHILI TUTAPOKEA VIPI MWAKA MPYA WA KIISLAMU? 1. ILIKUWAJE MJI ULIOMLEA, UKAMPA SIFA YA MKWELI NA MUAMINIFU ULIMKATAA ALIPOANZA KULINGANIA. 2. KUONDOKA KATIKA HALI MBAYA NA KUENDA KATIKA HALI NZURI.