SEHEMU 18
Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU.
Leo tuangalie kipimo cha kutumia ili kukipa haki kila kimoja kati ya vitu hivi vitatu MWILI,ROHO,NA AKILI.
( 1 ) Nilazima kwa mwanaadam kula, kunywa, kuva, kuoa kuolewa kujipamba, nk.
( 2 ) Pia nihaki kwa mwanaadam, bali ni lazima kwake, aipe chakula Roho yake kwa kufanya ibada,kujipamba na tabia nzuri,kua na maadili mema nakutafuta kila sifa nzuli inayo ingalisha Roho.
( 3 ) Pia nilazima kwa mwanaadam aitumie akili.yake, aielimishe akili kwakuipa elim. Kwani kama kitapewa kipaombele kimoja kati ya hivi vitatu na kuachwa vingine bado jamii utaanguka.
( 4 ) Inacho takiwa nikushibisha kila kimoja kwa mahitaji yake. Pale m/mungu aliposema katika suratil baqara aya ya 143 ( hivyo ndivyo sisi tume wajaalia nyinyi waislam kua ni umma wakati kwa kati, ili muwe kila sehem juu ya watu na awe mtume wenu juu yenu.)
( 5 ) Watakiwa kutenga muda wako katika kushibisha vitu hivi vitatu kutafuta rizki ya halali.uweze kuushibisha mwili. kutenga muda wako wa kusoma, kuishibisha akili. na kutenga muda wa kumuabudu Mungu wako kuishibisha Roho.