SEHEMU 6
Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TTUKUFU. Leo tuangalie baadhi ya maneno ndani ya qurani M/Mungu ameyatumia akiwa amaanisha watu kutumia fikra zao akili zao.
( 1 ) Kwamaana nyingine. Qurani haikuzungumzia swala la kufikiri, sawala la kutumia akili, kwa maneno ya. (akili) na (fikra) pekee. Bali kuna maneno mengi sana . Imetumia qurani lakini, ikiwa yamaanisha kufikiri na kutumia akili, Pia. kama ANNADHAR . ALBASWIIRU ULUL_ALBAAB na mengi neyo.
( 2 ) Kuna takriban maeneo 16 ndani ya qurani utakuta. Allah ametumia neno hili ULUL_ALBAAB. wanachuoni watuambie kua Albaab maana yake ni kitu kilicho safi, kitu ambacho kimeondolewa aina yeyote ya uchafu nakubaki chenyewe. Ndio chaitwa Albaab. Nawarabu wakalitumia kwa mtu mwenye akili yajuu.
( 3 ) Naneno hili Albaab ukiangalia maeneo yote 16 lime kuja kwa wingi. Miongoni mwa hekma watuambia wanachuoni,japo Allah ndie mjuzi zaidi. Wasema m/Mungu ataka kutuonesha kua fikra si yamtu. Mmoja moja bali fikra ni zawatu wengi. Maendeleo hayaletwi na mtu mmoja pekee.