KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

01 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

01 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 1 leo nimependa tuzungumzie mada itwayo KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Lakini kabla ya kuingia katika mada hii, kwanza tufaham hii qurani nikitabu gani? 1. Allah ameweka katika dunia hii vitabu viwili. Moja 1-ni kitabul kaun.(ulimwengu) yani jua mwezi nyota mbingu Ardhi navibginevyo. vinatengeneza kitabu hiki (Alkaun) 2. mbili QURAN (kitabu cha ALLAH kitukufu alikishusha...

Fungua Mhadhara

02 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

02 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 02 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. leo tuangalie QURANI imelitizama vipi swala hili la kufikiri kwa mwanaadam. 1. Yani je huku kufikiri kutumia akili, kumepewa kipao mbele katika QURANI? M/mubgu asema katika surat sabai aya ya 76 (kaeni wawili wawili au mmoja mmoja kisha mfikiri) 2. Qurani...

Fungua Mhadhara

03 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

03 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 3 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Leo tuangalie akili nafasi yake ilivyo tumika katika quran. Na fikra nafasi yake ilivyo tumika katika quran. 1. Tukianza na akili. Akili imezungumzwa katika qurani sio kwa kutajwa (ismu) kwajina lake. Bali limetajwa kwa (swiigha) kwa kazi ya akili. 2. Yani...

Fungua Mhadhara

04 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

04 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 4 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. leo tuangalie ni usulubu upi (njia) zipi zilizo tumika katika qurani,zikitutaka sisi tutumie.akili,tufikirie 1. Pindi qurani inapo tutaka sisi tutumie akili, fikra, kuna njia tofauti tofauti imetuma yakwanza ni AMRI(maamrisho.) Kama katika surat (Abasa) m/mungu asema (naangalie mwanaadam kwenye chakula chake....)...

Fungua Mhadhara

05 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

05 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 5 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Leo tuangalie ile njia ya tano katika mazungumzo yetu ya jana. Ambayo ilikua ikisema, Kwa kuwalaum wale ambao hawatumii akili zao, fikra zao. 1. Katika suratil aarafu aya(179) rejea vizuri sana aya hiyo utakuta m/Mungu azungumzia vipi wanadamu wataingia katika.moto wa...

Fungua Mhadhara

06 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

06 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 6 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TTUKUFU. Leo tuangalie baadhi ya maneno ndani ya qurani M/Mungu ameyatumia akiwa amaanisha watu kutumia fikra zao akili zao. ( 1 ) Kwamaana nyingine. Qurani haikuzungumzia swala la kufikiri, sawala la kutumia akili, kwa maneno ya. (akili) na (fikra) pekee. Bali kuna...

Fungua Mhadhara

07 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

07 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 7 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Leo bado, twaangalia maneno yaliyo tumika ndani ya qurani yamanisha watu watumie akili zao, fikra zao. ( 1 ) Pia kuna neno ANNUHA Neno hili katika qurani limetumika mara 2 tu. Aya hizi zapatikana katika suratil Twaha aya 54 na aya...

Fungua Mhadhara

08 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

08 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 8 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Leo bado, twaangalia maneno yaliyo tumika katika quran yakimaanisha kufikiria, Kutumia akili. ANNADHWAR, na BASWIIRA. ( 1 ) Neno Annadhwar, Maulamaa watuambia pamoja na maana tofauti tofauti limetajwa mara {104,}ndani ya quran. ( 2) Annadhwar, limetumika kwa maana nyingi takribani maana(...

Fungua Mhadhara

09 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

09 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 9 Leo bado, twaangalia maneno yaliyo tumika katika qurani ikimaanisha akili/fikra. Nalo ni AL_HEKMA. ( 1) Wanachuoni watuambia neno hili limetumika katika qurani mara(20) pia neno (HAKIIM) ambalo nisifa ya Hekm neno hili limetumika mara (98) lakini si kila itumikapo.hekma yamaanisha akili/fikra, Hapana. Bali utakuta sehem ambayo yahusu akili/fikra.nipale linapo kuja neno hekma huku...

Fungua Mhadhara

10 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

10 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 10 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Leo tuangalie neono ALQALBU natuishie hapa katika kuangalia maneno yaliyo namaana ya kufikiri/kutumia akili ndani ya qurani. ( 1) Neno qalbu limetumika katika qurani mara 132 nawengine maulamaa husema nizaidi ya hiyo bali ni mara 144. ( 2) Lakini pamoja na...

Fungua Mhadhara

11 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

11 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 11 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Leo katika kukamilisha mazungumzo yetu yajana mbayo tulikua twazungumzia AL-QALBU. (Moyo) ( 1) Tumalizie kwa kuangalia hadithi ya Imaam Jaafar swadiq {a.s} yeye atuonesha Mafungamano makubwa yaliyoko baina ya akili/fikra, moyo, nahisia. ( 2 ) Asema ( Imani ya mtu haiwezi...

Fungua Mhadhara

12 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

12 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 12 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Baada ya kuangalia maneno yaliyo tumika ndani ya qurani yakiwa yanamaana sawa na kufikiri sasa twaingia katika maana ya fikra fikra nini?. ( 1 ) Lakini kabla hatujaingia katika jibu la fikra nini kwanza tuangalie chombo kinacho tumika katika kazi ya...

Fungua Mhadhara

13 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

13 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 13 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. ( 1 ) Tukiwa bado twazungumzia maana ya fikra ni nini? Leo tuangalie neno fikra kwa upande wa kilugha (kiarabu) ( 2 ) Fikra kwa upande wa lugha(kiarabu) wataalam wa lugha ya kiarabu watuambia kua yamaaniaha (Attaammul) kupeleleza jambo. Au kuifanyisha...

Fungua Mhadhara

14 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

14 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 14 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. ( 1 ) Bado twaendelea katika kujibu swali lisemalo kufikiri ninini? ( 2 ) Jana tulieleza maana ya kilugha (kiarabu) leo tuangalie maana ya kisheriya (kielim) ampako tutaangalie watu wa SAIKOLOJIA na watu wa TARBIYA(malezi) na watu wa MANTIQ. ( 3...

Fungua Mhadhara

15 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

15 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 15 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Baada ya kuangalia maana ya fikra. Leo tuangalie umuhimu na ulazima wa kufikiri kwa mwanaadam. ( 1 ) Kufikiri kwa mwanaadam ninishati kwake ya uchangamfu,ambayo yategemea aina ya tatizo linalo mkabili hilo moja. ( 2 ) Pili watuambia wanachuoni kua watu...

Fungua Mhadhara

16 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

16 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 16 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Bado twazungumzia umuhim wa kufikiri ( 1) Nukta ya pili katika upande huu wa umuhim wa kufikiri nikujiuliza niipi haja ya sisi wanaadam kufikiri.? ( 2 ) Katika vitu vikuu vilivyo mkamilisha mwanaadam ni mwili, roho,na Akili. Tukiweza kufaham kila kimoja...

Fungua Mhadhara

17 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

17 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 17 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Bado tupo na swali letu nini umuhimu wa kufikiri? ( 1 ) Tulisema ili tuweze kujibu swali hili yapaswa tufaham vitu vitatu ambavyo ni MWILI,ROHO,AKILI. ( 2 ) tukaeleza mwili na mahitaji yake japo kwa uchache,pia tukaeleza roho na mahitaji yake...

Fungua Mhadhara

18 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

18 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 18 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Leo tuangalie kipimo cha kutumia ili kukipa haki kila kimoja kati ya vitu hivi vitatu MWILI,ROHO,NA AKILI. ( 1 ) Nilazima kwa mwanaadam kula, kunywa, kuva, kuoa kuolewa kujipamba, nk. ( 2 ) Pia nihaki kwa mwanaadam, bali ni lazima kwake,...

Fungua Mhadhara

19 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

19 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 19 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Leo tuangalie vipi tutafikiri na niyapi yakufikiriwa. ( 1 ) Tuanze na kujiuliza vipi tutafikiri? Baada ya kua tumefaham maana ya kufikiri,na umuhimu wa fikra,na ulazima wa kufikiri sasa nivipi tutafikiri? ( 2 ) Ndugu zangu ili tuweze kujua nivipi tutafikiri,...

Fungua Mhadhara

20 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

20 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 20 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Bodo twazungumzia sehem ya swali letu la kwanza lisemalo vipi tutafikiri.? ( 1 ) Jana tulizungumzia Aya ya suratul Annahli aya 28. Katika aya hii m/mungu ataka kutuonesha mambo mawili kwanza atufahamisha kua ametutoa katika matumbo ya mama zetu ilihali tukiwa...

Fungua Mhadhara

21 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

21 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 21 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Baada ya kufaham vyombo vinavyo isaidia akili kufikiri leo ndugu zangu kabla ya kuingia katika kufaham niyapi ya kufikuriwa tuangalie kwanza je hivi vitu vinavyo saidia akili kufikiri vinauwezo wa kumpatia mwanaadam elim? ( 1 ) Dekarti mwanafalsafa huyu yeye asema...

Fungua Mhadhara

22 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

22 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 22 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. ( 1 ) leo tuangalie je khabari zinazo letwa na akili au maarifa anayo yapata mwanaadam kupitia chombo cha akili yaweza kutegemeka kielim? ( 2 ) wako wanao pinga kua chombo hiki si chakutegemeka katika kupata maarifa. ( 3 ) Wasema

Fungua Mhadhara

23 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

23 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 23 Tukiwa twaendelea na mada yetu tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Tuangalie swali letu la pili lisamalo niyapi ya kufikiriwa? ( 1 ) Yakufikiriwa ndugu zangu nimengi sana hayana idadi ila ili tuweze kuelewana vizuri tuyagawe mambo katika sehem tatu yakufikiriwa. ( 2 ) Sehem ya kwwnza ni KITAABUL_MAQRUU. nikitabu chenye kusomwa,kama...

Fungua Mhadhara

24 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU

24 | KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU
SEHEMU 24 Tukiwa twaendelea na mada yetu na tulieipa jina ya KUFIKIRIA KATIKA QURANI TUKUFU. Bado twazungumzia niyapi ya kufikiriwa Jana tulizungumza kitu cha kwanza kinacho takiwa kufikiriwa kwa mwanaadam muislam tukasema ni qurani. ( 1 ) Leo tumalizie katika kuangalia qurani ambayo ni kitu cha kwanza kufikiriwa. Katika surati SWADI aya 29 m/mungu asema...

Fungua Mhadhara