- Hstoria ya wanaadam .
- Faham wivu ulipodhihiri kihistoria .
- Historia ya ndoa katika zama za kale .
- Kiumbe gani alio pasi nakuwa na hisia za kijinsia .
- Historia za kudhihiri hisia za kijinsia kwa mujibu wa wana vyuoni mbali mbali .
- Mahala alipojifunza Adam elimu ya maisha kabla ya kuja duniani .
- Itambue serikari ya kwanza duniani wakati wa zama za kale .
- Ufahamu mfumo ulowekwa na serikali kuchukua majukumu ya familia .
- Nini dhumuni la kuwepo taqiyah .
- Mfaham mtu wa kwanza kufanza taqiyah katika Quran .