03 | Sifa za Vijana wa Kiislamu SIFA ZA VIJANA WA KIISLAMU: – Kuwa na Dini na kujivunia na Ibada – Kujiilimisha – Kuwa mtulivu na Mwenye busara – Kujua jinsi ya kuzielekeza nguvu na nishati za UJANA – Mwenye ghera na haya – Kuulinda Uislamu