MSIKITI WA UDOWE
1. Kufahamu yaliyotokea katika karne zilizopita ni kama mtoto wa miaka 15 kumfahamu mzazi wa miaka 50.
2. Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu (s.w.t.) mwanadamu alikuwa ni wa mwisho
3. Katika kuumbwa kwa mwanadamu hakuitwa kwa jina la Insaan, bali ameitwa Khalifa.
4. Inasemekana kabla ya kuumbwa mwanadam waliumbwa viumbe ambao waliasi.
5. Amesema Imam Saadiq (a.s.) “Kabla ya Adam huyu kulikuwa na Adamu elfu wamepita”.
6. Ameumbwa kwa vitu viwili Adam Roho na Udongo.