➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Je, mwisho wa utume ina maana mwanadamu kujitegemea mwenyewe kupambana na Shaitwan?
• Nadharia ya Uimamu…
• Nabii Musa (as) aomba apewe Harun (as) kama msaidizi wake…
• Ali (as) kama Haun (as)…
• Kujitokeza kwa matatizo ni kukosekana kwa Mwongozaji…
• Imamu Ali (as) aanza kwa kueneza Ilmu…
• Suala la kutenga muda kwa kazi maalumu…
• Kiburi cha Mu’awiyya na kudhihiri kwa makosa yake…