➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Harakati za Imamu Husein (as) na malengo yake…
• Tofauti ya mageuzi na mapinduzi…
• Islah kwa mtazamo wa Qur’an Tukufu…
• Ufisad wa Yazid wawekwa wazi na Imamu Husein (as)…
• Mateso waliyofanyiwa watu wa nyumba ya Mtume (saww) kama mateka chini ya Yazid na utawala wake…
• Siasa ya gawanya uwatawale ….
• Utawala wa kifisadi huzalisha watu wa aina hizi:
▪ Watumwa wa duniya
▪ Dini inabakia kwenye ndimi zao tu
✓ Jukumu la kuurudisha Umma kwenye ukhalifa likaachwa kwa Imamu Husein(as) na kuja kumaliziwa na Imamu wa zama (as)
✓ Jinsi watu walivyoathuriwa na umagharibi…
✓ Hadith za kughushi na upotoshaji wake…
✓ Imamu Husein (as) atoka kuuamsha umma kwa kishindo kikikubwa cha kifo chake pale Karbala…
Sehemu 1
Sehemu 2