➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Mapambano kati ya Akili na Nafsi
• Tutayatumia vipi Mapinduzi ya Imamu Husein (as) katika karne hii ya 21?
• Imamu Husein (as) hakutawailiwa na dunia…
• Akina Yazid bado wapo na tawala zao zinaendelea…
- • Tawala hizo zinatumia utajri wa Waislamu kuumaliza Uislamu…
- • Wahubiri wa haki za binadamu na wakati huo huo wavunjaji wakubwa wa haki hizo…
- • Badala ya kuundwa jihad za kuikomboa Palestina na Al-Aqiswa zatengenezwa jiahad za kuuana wenyewe kwa wenyewe…
- • Ikiwa hali ni hii je, sisi hatumhitaji Imamiu Husein (as) leo?
Sehemu 1
Sehemu 2