➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Nafasi ya mwanadamu katika huu ulimwengu…
• Amana ni nini?…
• Ufafanuzi wa ukhalifa wa mwanadamu…
• Sura mbili za mwanadamu…
• Ukarimu…
• Nafsi na Akili…
• Iblisi adui wa mwanadamu…
• Adui wa nje na ushirikiano na adui wa ndani na…
• Sababu za kutumwa Mitume (as)…
• Tatizo la nafsi na msaada uliopatikana kwayo kupambana na Shaitwani…
• Nafasi ya maulamaa (Mar’ja) baada ya Ghaibah…