➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…
• Harakati za Mitume (as) na Maimamu (as)…
• Barabara tatu: Ukhalifa, Shahada na barabara ya Shaitwan…
• Upotoshaji wa Iblis…
• Mwongozo kutoka kwa Mitume (as) na kuhitimishwa na Mtukufu Mtume Muhammad (saww)…
• Mafunzo ya Tawhid – miaka kumi na tatu…
• Msisitizo wa kutumia Akili…