➢ Tofauti za wanadamu wa zama hii na wa zama zilizopita…
• Mazinngira ya sasa si sawa na mazingira ya zama zilizopita…
• Je, Daur (Mapinduzi.) ya Imamu Husein (a.s.) yaweza kutatua matatizo ya karne hii?
• Kuna hatua tano za kujibu swali hili:
1) Je, Daur hii twaweza kuitumia kama suluhisho la matatizo na changamoto za watu wa karne hii ya 21?
2) Masuala ya wema na ufisadi katika mwenendo wa mwanadamu…
3) Daur (Mapinduzi.) ya Imamu Husein (a.s) yana mchango gani katika karne hii ya sasa…
4) Daur (Mapinduzi.) ya Imamu Husein (a.s.) na mwanadamu wa leo…
5) Je, fikra hii ya Imamu Husein (a.s) twaweza kuileta na kuitekeleza kwa mwanadamu wa sasa?
• Ukhalifa wa mwanadamu…
• Kuendesha matakwa ya Mungu kama ifuatavyo:
I. Kumtukuza na kumtakasa Mungu…
II. Kulinda maisha…
III. Kuiboresha Ardhi…
IV. Kutihaniwa…
• Damu yamwagwa kwa mara ya kwanza kabisa na mwanadamu…
• Mwanadamu alikabidhiwa Amana…