01 | Daur ya Imam Husayn (a.s.) katika karne hii
➢ Tofauti za wanadamu wa zama hii na wa zama zilizopita… • Mazinngira ya sasa si sawa na mazingira ya zama zilizopita… • Je, Daur (Mapinduzi.) ya Imamu Husein (a.s.) yaweza kutatua matatizo ya karne hii? • Kuna hatua tano za kujibu swali hili: 1) Je, Daur hii twaweza kuitumia kama suluhisho la matatizo na...
02 | Daur ya Imam Husayn (a.s.) katika karne hii
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Nafasi ya mwanadamu katika huu ulimwengu… • Amana ni nini?... • Ufafanuzi wa ukhalifa wa mwanadamu… • Sura mbili za mwanadamu… • Ukarimu… • Nafsi na Akili… • Iblisi adui wa mwanadamu… • Adui wa nje na ushirikiano na adui wa ndani na… • Sababu za kutumwa Mitume...
03 | Daur ya Imam Husayn (a.s.) katika karne hii
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Nafasi ya akili katika maamuzi… • Mwanzo wa Karbala… • Watakao rithi ardhi… • Tawba kabla na baada ya kdhihiri kwa Imamu (atf)… • Namna ya kujiandaa kumpokea Imamu (atf)… • Jinsi ya kuilinda Amana… • Maana salah na fasad… • Maradhi ya nafsi na jinsi ya kuondokana...
04 | Daur ya Imam Husayn (a.s.) katika karne hii
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Harakati za Mitume (as) na Maimamu (as)… • Barabara tatu: Ukhalifa, Shahada na barabara ya Shaitwan… • Upotoshaji wa Iblis… • Mwongozo kutoka kwa Mitume (as) na kuhitimishwa na Mtukufu Mtume Muhammad (saww)… • Mafunzo ya Tawhid – miaka kumi na tatu… • Msisitizo wa kutumia Akili…
05 | Daur ya Imam Husayn (a.s.) katika karne hii
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Je, mwisho wa utume ina maana mwanadamu kujitegemea mwenyewe kupambana na Shaitwan? • Nadharia ya Uimamu… • Nabii Musa (as) aomba apewe Harun (as) kama msaidizi wake… • Ali (as) kama Haun (as)… • Kujitokeza kwa matatizo ni kukosekana kwa Mwongozaji… • Imamu Ali (as) aanza kwa kueneza...
06 | Daur ya Imam Husayn (a.s.) katika karne hii
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Harakati za Imamu Husein (as) na malengo yake… • Tofauti ya mageuzi na mapinduzi… • Islah kwa mtazamo wa Qur’an Tukufu… • Ufisad wa Yazid wawekwa wazi na Imamu Husein (as)… • Mateso waliyofanyiwa watu wa nyumba ya Mtume (saww) kama mateka chini ya Yazid na utawala wake… ...
07 | Daur ya Imam Husayn (a.s.) katika karne hii
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita… • Mapambano kati ya Akili na Nafsi • Tutayatumia vipi Mapinduzi ya Imamu Husein (as) katika karne hii ya 21? • Imamu Husein (as) hakutawailiwa na dunia… • Akina Yazid bado wapo na tawala zao zinaendelea… • Tawala hizo zinatumia utajri wa Waislamu kuumaliza Uislamu… • Wahubiri wa haki...