MSIKITI WA UDOWE
1. Mwanadam ni khalifa ambaye amepewa amana
2. Amana ni nini?
3. Sheitani amuweza Mwanadamu?
4. Nafasi mwanadamu katika maumbile haya
MSIKITI WA UDOWE
1. Mwanadam ni khalifa ambaye amepewa amana
2. Amana ni nini?
3. Sheitani amuweza Mwanadamu?
4. Nafasi mwanadamu katika maumbile haya
MSIKITI WA UDOWE
1. Kufahamu yaliyotokea katika karne zilizopita ni kama mtoto wa miaka 15 kumfahamu mzazi wa miaka 50.
2. Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu (s.w.t.) mwanadamu alikuwa ni wa mwisho
3. Katika kuumbwa kwa mwanadamu hakuitwa kwa jina la Insaan, bali ameitwa Khalifa.
4. Inasemekana kabla ya kuumbwa mwanadam waliumbwa viumbe ambao waliasi.
5. Amesema Imam Saadiq (a.s.) “Kabla ya Adam huyu kulikuwa na Adamu elfu wamepita”.
6. Ameumbwa kwa vitu viwili Adam Roho na Udongo.
MASWALI NA MAJIBU:
1. MASHARIFU WAMETOKEA WAPI?
2. VIPI WAISLAMU WATAREJESHA DOLA YA KIISLAMU?
3. IKHTILAFU ZA MADHEHEBU IMELETWA NA NANI?
4. IMAM SHAFI ASEMAJE?
5. JEE IKHTILAFU ZITAISHA?
6. MALUMBANO YANAFAA NYAKATI GANI?
7. MTUME (S) AMEWACHA MFUMO AU MUONGOZO NA WATU?
8. JEE IRAN NI DOLA YA KIISLAMU?
9. KOSA GANI LILOFANYWA NA MASHIA KATIKA KUMSUBIRI IMAM MAHDI (A.J.F.S.)
10. KUCHANGANYA SALA INAFAA?
11. NI KWELI HIZBUTAHRIR INAKUBALIKA NA WATU WOTE?
SHK ABDILAHI NASSIR ALIZUNGUMZA:
1. ILIKUWAJE WATAWALA WAKAWAOGOPA WATAWALIWA.
2. SOMO LA ORIENTALISM ILIVYOZALIWA.
3. MAADUI WALIVYOFANIKIWA KATIKA KUPOTOSHA MAFUNZO YA KIISLAMU.
4. LUGHA YA KISWAHILI PIA ILIPOTOSHWA KWA SABABU LUGHA NDIO INAYOTOWA FIKRA.
SAYED AIDAROUS ALIZUNGUMZA:
1. TUTAKWENDA VIPI BILA YA KUKHITLAFIANA.
2. UISLAMU UNAKUWA KATIKA MAISHA YETU KATIKA NYAKATI ZOTE MAHALA POPOTE.
3. INATAKIWA MTU AJICHUNGUZE MWENYEWE KABLA YA KUWACHUNGUZA WENGINE.
4. KATIKA HISTORIA IRAN HAIKUWAHI KUWA KATIKA KOLONI
1. VYOMBO VYA HABARI VINAFANYA KAZI GANI ZIDI YA UISLAMU.
2. IMANI YA MTU KWA MWENYEZI MUNGU NA MABADILIKO YANAYOTOKEA KATIKA MAISHA YAKE.
1. MWAKA MPYA WA KIISLAMU NA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAISLAMU.
2. TATHMINI YA SEMINA
1. Mizani ilivyotumika katika historia
2. Upotoshaji wa hadith
3. Fadhila za Ansar
4. Kupigana vita, suluhu au kujitenga
1. Watawala Halali Ni Kina Nani?
2. Aliulizwa Imam Ali(s) Kwanini Yeye Hakuitetea Haki Yake?
1. Mapambano Ya Karbala Yaliisha Au Yaliendela
2. Uhai Kupitia Maji
3. Itikadi Ya Mwenye Kusema Lailaha Illa Allah Na Akifanya Ovu Lolote Linajuzu
4. Muawiyah Alivyotawala
5. Fikra Kadhaa Na Kadar