- Namna ya kumwanda kijana kwaajili ya kuishi na jamii .
- Suluhisho la uchumi kwa kwa kijana ni nini ?
- Mama wa ufumbuzi ni nani ?
- Ni ipi ngome ya jamii ?
- Ifahamu fursa ya maisha .
- Vipi watakiwa kujitegemea ?.
- Stara katika ndoa !
- Fahamu jinsi ya kugawa maamuzi katika familiaa .
Author: ILM ONLINE
MALENGO YA KUUNDA FAMILIA PART 2
- Kwanini tumeumbwa na jinsia tofauti na kuwekwa mfumo wa ndoa .
- Ukamilifu wa mwanadamu ni nini .
- Vitu vya kimwili sivyo vinavyotuletea raha !
- Ifahamu kwa upana kauli ya Mtume (saw) katika ndoa !
- Viumbe pekee walozaliwa pasi na kujua lolote !.
- Fahamu kinachomaanishwa na uzazi wa ndani ya familia na uzazi wawa nje ya familia .
- Kazi za familia katika jamii .
- Elimu ya maisha ya jamii kutoka kwa familia .
MALENGO YA KUUNDA FAMILIA PART 1
- Mfumo uomsukuma mwanadam kuijenga familia .
- Ni yapi malengo ya kubuni familia katika uislam ?.
- Changamoto kwa wakufunzi wa elimu kutokana na rika za watu .
- Hatua za kuchaguana kabla ya ndoa .
- Mwanamke yupi ni raha ya dunia ?
- Je? kujiepusha na hali ya kimaumbile ni dini .
- Vipi tuyaongoze matamanio yetu ya kijinsia katika uislam .
Historia ya familia
- Hstoria ya wanaadam .
- Faham wivu ulipodhihiri kihistoria .
- Historia ya ndoa katika zama za kale .
- Kiumbe gani alio pasi nakuwa na hisia za kijinsia .
- Historia za kudhihiri hisia za kijinsia kwa mujibu wa wana vyuoni mbali mbali .
- Mahala alipojifunza Adam elimu ya maisha kabla ya kuja duniani .
- Itambue serikari ya kwanza duniani wakati wa zama za kale .
- Ufahamu mfumo ulowekwa na serikali kuchukua majukumu ya familia .
- Nini dhumuni la kuwepo taqiyah .
- Mfaham mtu wa kwanza kufanza taqiyah katika Quran .
NDOA YA ADAM NA HAWA NA WATOTO WAKE
- Ndoa ya Adam na Hawa na watoto wao .
- Ni mfumo upi ALLAH (SWT) : aliutumia kuendeleza kizazi cha wanadamu .
- Fahamu mambo yenye ulazima kuyabeba kiimani nasi kiakili ya kawaida .
- Nini wasomi wakiislamu na wanao wafuata wazingatie !
- Mashiko dhidi ya uumbaji wa Adam , Hawa na kizazi chao .
- Fahamu jinsi Hawa alivyoumbwa na ALLAH (SWT)
- Mjue nani alimvutia malaika Jibril kwasabu ya mapenzi makubwa kwa mtume Muhammad (saw) .
- Malaika Jibril awambia binadamu wawili kuwa anatoka nao .
- Kisa cha maumbile ya mwanadamu katika baadhi ya riwaya ya msomi wa kidini .
- Binadamu walioumbwa kabla ya Adam !!.
- Sababu ya kuwepo mizani siku ya Qiyamah .
CHANZO CHA FAMILIA
- Itambue nguvu kubwa ya ndani ya mwandam .
- Nguvu ambazo mwanadamu hupambana nazo !
- Kuoko katika uisilam !
- Vifahamu vitu viwili vikubwa alivyovipenda Mtume (SAW) katika dunia !
- Nadharia potofu kutoka kwa mwanasaikolojia maaruf duniani !.
- Kiumbe gani alioa kabla ya sheria za ALLAH (SWT) KUWEPO !
- Kiumbe gani uislam umeweka kipaumbele katika maumbile ya mwanadamu ,
- Wafahamu watu ambao watapata kivuli cha ALLAH (SWT) siku Qiyama
ASILI YA FAMILIA
- Asili na chanzo cha familia .
- Hatua ilizopita familia katika historia mpaka hivi sasa .
- Kiumbe tofauti na viumbe vingine ambavyo LLAH (SWT) ameviumba .
- Kifahamu kiumbe kilicho umbwa kutokana na mchanganyiko wa sifa za viumbe vyote ulimwenguni !
- Ni yupi kiumbe bora na mzuri kuliko wote !
- ALLAH (SWT) aliiambia nini akili ya mwandamu ?
- Ipo wapi njia ya motoni na peponi ?
- Ni wapi waliopata hasara kubwa ya ALLAH (SWT)
- Vipi amli njema zaweza kukuangamiza ?
- Ifahamu sharia za mali za waqfu misikitini .
- Yafahamu maumbile ya kustaajabisha mwanadamu !.
- Itambue nguvu kubwa inayomsukuma mwanaadamu katika maisha .
KULINDWA KWA FAMILIA
- Rai za wanavyuoni wa kiislamu dhidi ya uzazi wa mpango .
- Jinsi ya kutofautisha halali wakati jambo la haramu likiingia .
- Sheria za kiislam dhidi ya vitu viletavyo madhara kwa mwandaam .
- Zipi sheria za kutoaa mimba ?
- Je yafaa kumchukua mtoto sio yako na kumlea?
- Ni ipi njama iliyoweka ili kuleta ongezeko la watot wa haramu ?
- Vizazi pandikizi katika jamii zetu ?
- Sheria ya kiislam imesema vipi dhidi ya uzazi pandikizi !.
- Maana halisi ya mwanaharamu katika uislam .
- Mfumo wa talaka katika dhehebu la SHIA ITHNAASHARIYAH .
VIPI TULINDE FAMILIA
- Vipi tuzilinde familia zetu ?
- Changamoto za mfumo wa vyombo vya habari dhidi ya familia zetu .
- Vitmbi vya watu wa zama za ujahili dhidi ya tamaduni zao .
- Aina tano za ndoa wakati wa zama za ujahili .
- Zana chfu za kifikra zinazopandikizwa kwa familia .
- Jamii kuwa na mfumo wa maisha wa wanyama .
- Njama kuu hatari zilizoandaliwa za kuziangamiza familia .
- Kugeuzwa kwa majukumu ili kuepuka familia .
- Vipi jambo la halali laweza leta hasara .
- Vipi tutatakiwa kuupinga uzazi wa mpango ?
KULINDA FAMILIA
- Utukufu wa familia katika Quran .
- Umuhimu na malengo ya ndoa .
- Ni ipi dhamana kubwa ya ndoa
- Swadaqatun jaariya yenye kupendeza .
- Nabii Adam hakuishi bila Mke !
- .ALLAH (SWT) asema tutajua tu!.
- Ulinzi kwa familia .
- Bajeti ya ALLAH (SWT) kwa viumbe vyake .
- Wakoministi na vita vyao kwa familia .
- Umri gani mtoto akiwa kuanza kusoma kwa mujibu wa mtume MUHAMMAD (SAW)
- Mashiko matatu kwa malezi ya mtoto .