Sura hii imeteremshwa Makka, na ina Aya 6
Kwa jina la Mwenyeezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
1.Sema: Najikinga kwa Mola wa watu.
2.Mfalme wa watu.
3.Mungu wa watu.
4.Na shari ya mwenye kutia wasi wasi mwenye kurejea nyuma.
5.Ambaye hutia wasi wasi katika nyoyo za watu.
6.Miongozi mwa majinni na watu.