Sura hii imeteremshwa Makka, na ina Aya 3
Kwa jina la Mwenyeezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
1. Hakika sisi tumekupa kheri nyingi.
2.Basi swali kwa ajili ya Mola wako, na uchinje (kwa ajili ya Mola wako).
3. Hakika adui yako atakuwa mkiwa.